Deuteronomy 5:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wakati mliposikia hiyo sauti kutoka katikati ya lile giza, juu ya ule mlima uliokuwa unawaka moto, viongozi wote wa makabila yenu na wazee walinijia
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mliposikia sauti kutoka kati ya giza, mlima ulipokuwa ukiwaka moto, viongozi wenu wote wa makabila yenu na wazee wenu walinijia mimi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, mlipoisikia sauti ile toka kati ya giza, na wakati uo huo mlima ule ulikuwa ukiwaka moto, basi, mlinikaribia, naam, wakuu wote wa kabila zenu, na wazee wenu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wakati mliposikia hiyo sauti kutoka katikati ya lile giza, juu ya ule mlima uliokuwa unawaka moto, viongozi wote wa makabila yenu na wazee walinijia
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mliposikia sauti kutoka kwenye giza, mlima ulipokuwa ukiwaka moto, viongozi wenu wote wa makabila yenu na wazee wenu walinijia mimi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mliposikia sauti kutoka kwenye giza, mlima ulipokuwa ukiwaka moto, viongozi wenu wote wa makabila yenu na wazee wenu walinijia mimi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, mlipoisikia sauti ile toka kati ya giza, na wakati huo huo mlima ule ulikuwa ukiwaka moto, basi, mlinikaribia, naam, wakuu wote wa makabila yenu, na wazee wenu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wakati mliposikia hiyo sauti kutoka katikati ya lile giza, juu ya ule mlima uliokuwa unawaka moto, viongozi wote wa makabila yenu na wazee walinijia
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, mlipoisikia sauti toka gizani, nao mlima ulipowaka moto, mkanikaribia ninyi mliokuwa vichwa vya mashina yenu na wazee wenu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, mlipoisikia sauti ile toka kati ya giza, na wakati uo huo mlima ule ulikuwa ukiwaka moto, basi, mlinikaribia, naam, wakuu wote wa kabila zenu, na wazee wenu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Wakati muliposikia hiyo sauti kutoka katikati ya lile giza, juu ya ule mulima uliokuwa unawaka moto, viongozi wote wa makabila yenu na wazee walinifikia