Deuteronomy 5:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ya nini kujitia katika hatari ya kufa kwa kuteketezwa na ule moto mkubwa? Tukiisikia tena sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, tutakufa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sasa, kwa nini tufe? Moto huu mkubwa utatuteketeza sisi na tutakufa tukiendelea kusikia sauti ya Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sasa basi, mbona tufe? Maana moto huu mkubwa utatuteketeza; tukiisikia tena sauti ya Bwana, Mungu wetu, tutakufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ya nini kujitia katika hatari ya kufa kwa kuteketezwa na ule moto mkubwa? Tukiisikia tena sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, tutakufa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sasa, kwa nini tufe? Moto huu mkubwa utatuteketeza sisi na tutakufa kama tukiendelea kusikia sauti ya BWANA Mungu wetu zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sasa, kwa nini tufe? Moto huu mkubwa utatuteketeza sisi na tutakufa kama tukiendelea kusikia sauti ya bwana Mwenyezi Mungu wetu zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sasa basi, mbona tufe? Maana moto huu mkubwa utatuteketeza; tukiisikia tena sauti ya BWANA, Mungu wetu, tutakufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ya nini kujitia katika hatari ya kufa kwa kuteketezwa na ule moto mkubwa? Tukiisikia tena sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, tutakufa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa mbona tufe, moto huu mkubwa ukitula? Tukiendelea kuisikia tena sauti ya Bwana Mungu wetu hatuna budi kufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sasa basi, mbona tufe? Maana moto huu mkubwa utatuteketeza; tukiisikia tena sauti ya BWANA, Mungu wetu, tutakufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kwa nini kujitia katika hatari ya kufa kwa kuteketezwa na ule moto mukubwa? Tukisikia tena sauti ya Yawe, Mungu wetu tutakufa!