Deuteronomy 5:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, ni binadamu gani aliyepata kumsikia Mungu aliye hai akiongea kutoka katikati ya moto kama tulivyomsikia sisi halafu akaweza kubaki hai?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni mtu yupi mwenye mwili ambaye amewahi kuisikia sauti ya Mungu aliye hai akizungumza kutoka kati ya moto, kama sisi tulivyoisikia, naye akaishi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana katika wote wenye mwili ni nani aliyeisikia sauti ya Mungu aliye hai, akisema toka kati ya moto, kama vile sisi, asife?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, ni binadamu gani aliyepata kumsikia Mungu aliye hai akiongea kutoka katikati ya moto kama tulivyomsikia sisi halafu akaweza kubaki hai?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni mtu yupi mwenye mwili ambaye amewahi kuisikia sauti ya Mungu aliye hai akizungumza kutoka kwenye moto, kama sisi tulivyoisikia, naye akaishi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni mtu yupi mwenye mwili ambaye amewahi kuisikia sauti ya Mungu aliye hai akizungumza kutoka kwenye moto, kama sisi tulivyoisikia, naye akaishi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana katika watu wote ni nani aliyeisikia sauti ya Mungu aliye hai, akisema toka kati ya moto, kama vile sisi, asife?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, ni binadamu gani aliyepata kumsikia Mungu aliye hai akiongea kutoka katikati ya moto kama tulivyomsikia sisi halafu akaweza kubaki hai?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yuko wapi mwingine mwenye mwili, ndiye aisikie kama sisi sauti ya Mungu Mwenye uzima, akisema toka motoni, kisha awepo mwenye uzima?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana katika wote wenye mwili ni nani aliyeisikia sauti ya Mungu aliye hai, akisema toka kati ya moto, kama vile sisi, asife?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni mwanadamu gani aliyepata kusikia sauti ya Mungu Mwenye Uzima kutoka katikati ya moto kama vile tulivyomusikia sisi halafu akaweza kubaki muzima?