Deuteronomy 5:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri wewe Mose uende karibu, ukasikilize yote atakayosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kisha uje kutuambia mambo hayo yote atakayokuambia. Sisi tutayasikiliza na kuyatekeleza’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sogea karibu usikie yale yote asemayo Mwenyezi Mungu, Mungu wetu. Kisha utuambie chochote kile ambacho Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, anakuambia. Tutasikiliza na kutii.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enenda karibu wewe, ukasikie yote atakayoyasema Bwana, Mungu wetu; ukatuambie yote atakayokuambia Bwana, Mungu wetu; nasi tutayasikia na kuyatenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri wewe Mose uende karibu, ukasikilize yote atakayosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kisha uje kutuambia mambo hayo yote atakayokuambia. Sisi tutayasikiliza na kuyatekeleza’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sogea karibu usikie yale yote asemayo BWANA Mungu wetu. Kisha utuambie cho chote kile ambacho BWANA Mungu wetu anakuambia. Tutasikiliza na kutii.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sogea karibu usikie yale yote asemayo bwana Mwenyezi Mungu wetu. Kisha utuambie chochote kile ambacho bwana Mwenyezi Mungu wetu anakuambia. Tutasikiliza na kutii.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nenda karibu wewe, ukasikie yote atakayoyasema BWANA, Mungu wetu; ukatuambie yote atakayokuambia BWANA, Mungu wetu; nasi tutayasikia na kuyatenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri wewe Mose uende karibu, ukasikilize yote atakayosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kisha uje kutuambia mambo hayo yote atakayokuambia. Sisi tutayasikiliza na kuyatekeleza’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nenda wewe, uyasikilize yote, Bwana Mungu wetu atakayoyasema, kisha wewe tuambie yote, Bwama Mungu wetu aliyoyasema! Nasi tutakapoyasikia tutayafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enenda karibu wewe, ukasikie yote atakayoyasema BWANA, Mungu wetu; ukatuambie yote atakayokuambia BWANA, Mungu wetu; nasi tutayasikia na kuyatenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri wewe Musa uende karibu, usikilize yote Yawe, Mungu wetu, atakayosema, kisha ukuje kutuambia mambo hayo yote atakayokuambia. Sisi tutayasikiliza na kuyatimiza’.