Deuteronomy 5:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwenyezi-Mungu alisikia maneno yenu hayo, akaniambia ‘Nimesikia maneno waliyokuambia watu hawa; yote waliyosema ni sawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu aliwasikia wakati mlipozungumza nami, na Mwenyezi Mungu akaniambia, “Nimesikia kile hawa watu walichokuambia. Kila kitu walichokisema ni kizuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Bwana akasikia sauti ya maneno yenu mliyoniambia; Bwana akaniambia, Nimesikia sauti ya maneno ya watu hawa waliyokuambia; wamesema vema yote waliyosema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwenyezi-Mungu alisikia maneno yenu hayo, akaniambia ‘Nimesikia maneno waliyokuambia watu hawa; yote waliyosema ni sawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA aliwasikia wakati mlipozungumza nami, na BWANA akaniambia, “Nimesikia kile hawa watu walichokuambia. Kila kitu walichokisema ni kizuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana aliwasikia wakati mlipozungumza nami, na bwana akaniambia, “Nimesikia kile hawa watu walichokuambia. Kila kitu walichokisema ni kizuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye BWANA akasikia sauti ya maneno yenu mliyoniambia; BWANA akaniambia, Nimesikia sauti ya maneno ya watu hawa waliyokuambia; wamesema vema yote waliyosema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwenyezi-Mungu alisikia maneno yenu hayo, akaniambia ‘Nimesikia maneno waliyokuambia watu hawa; yote waliyosema ni sawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana alipozisikia sauti za maneno yenu, mliyoniambia, yeye Bwana akaniambia: Nimezisikia sauti za maneno ya watu hawa, waliyokuambia, hayo yote waliyoyasema ni mema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye BWANA akasikia sauti ya maneno yenu mliyoniambia; BWANA akaniambia, Nimesikia sauti ya maneno ya watu hawa waliyokuambia; wamesema vema yote waliyosema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Bwana akasikia hayo maneno yenu, akaniambia: ‘Nimesikia maneno watu hawa waliyokuambia. Yote waliyosema ni sawa.