Deuteronomy 5:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laiti wangekuwa daima na mawazo kama haya wakaniheshimu na kushika amri zangu! Mambo yao yote yangewaendea vyema daima wao wenyewe na wazawa wao milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laiti kama mioyo yao ingekuwa na mwelekeo wa kuniogopa na kuzishika amri zangu zote daima, ili wafanikiwe wao pamoja na watoto wao milele!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laiti wangekuwa na moyo kama huu ndani yao sikuzote, wa kunicha, na kushika amri zangu zote sikuzote, wapate kufanikiwa wao na watoto wao milele!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laiti wangekuwa daima na mawazo kama haya wakaniheshimu na kushika amri zangu! Mambo yao yote yangewaendea vyema daima wao wenyewe na wazawa wao milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laiti kama mioyo yao ingekuwa na mwelekeo wa kuniogopa na kuzishika amri zangu zote daima, ili kwamba wafanikiwe wao pamoja na watoto wao milele!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laiti kama mioyo yao ingekuwa na mwelekeo wa kuniogopa na kuzishika amri zangu zote daima, ili kwamba wafanikiwe wao pamoja na watoto wao milele!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laiti wangekuwa na moyo kama huu ndani yao siku zote, wa kunicha, na kushika amri zangu zote siku zote, wapate kufanikiwa wao na watoto wao milele!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laiti wangekuwa daima na mawazo kama haya wakaniheshimu na kushika amri zangu! Mambo yao yote yangewaendea vyema daima wao wenyewe na wazawa wao milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Laiti wangekuwa siku zote wenye mioyo inayoniogopa hivyo, wayaangalie maagizo yangu yote, wao na wana wao wapate kuona mema kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laiti wangekuwa na moyo kama huu ndani yao sikuzote, wa kunicha, na kushika amri zangu zote sikuzote, wapate kufanikiwa wao na watoto wao milele!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri wangekuwa siku zote na mawazo kama haya wakiniheshimu na kushika amri zangu! Mambo yao yote yangewaendekea vizuri, wao wenyewe na wazao wao milele.