Deuteronomy 5:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakufanya agano hilo na wazee wetu tu, bali alifanya na sisi sote ambao tuko hai hivi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Si kwamba Mwenyezi Mungu alifanya agano na baba zetu, bali alifanya nasi, nasi sote ambao tuko hai hapa leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana hakufanya agano hili na baba zetu, bali na sisi, yaani, sisi sote tuliopo hapa, tu hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakufanya agano hilo na wazee wetu tu, bali alifanya na sisi sote ambao tuko hai hivi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Si kwamba BWANA alifanya Agano na baba zetu, bali alifanya nasi, nasi sote ambao tuko hai hapa leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Si kwamba bwana alifanya Agano na baba zetu, bali alifanya nasi, nasi sote ambao tuko hai hapa leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA hakufanya agano hili na baba zetu, bali na sisi, yaani, sisi sote tuliopo hapa, tu hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakufanya agano hilo na wazee wetu tu, bali alifanya na sisi sote ambao tuko hai hivi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Agano hilo Bwana hakulifanya na baba zetu, ila na sisi wenyewe tuliopo leo hapa sote wenye uzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA hakufanya agano hili na baba zetu, bali na sisi, yaani, sisi sote tuliopo hapa, tu hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakufanya agano hilo na wazee wetu, lakini alilifanya na sisi wote ambao tuko wazima hivi leo.