Deuteronomy 5:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nenda ukawaambie warudi mahemani mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nenda uwaambie warudi kwenye mahema yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enda uwaambie, Rudini hemani mwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nenda ukawaambie warudi mahemani mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nenda uwaambie warudi kwenye mahema yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nenda uwaambie warudi kwenye mahema yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nenda uwaambie, Rudini hemani mwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nenda ukawaambie warudi mahemani mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nenda, uwaambie: Rudini tu mahemani mwenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enda uwaambie, Rudini hemani mwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwenda uwaambie warudi ndani ya mahema yao.