Deuteronomy 5:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nyinyi muwe waangalifu mkafanye kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru; tekelezeni kila kitu barabara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo kuweni waangalifu kuyafanya yale Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, aliyowaagiza; msigeuke upande wa kuume wala wa kushoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tunzeni basi, mtende kama mlivyoamriwa na Bwana, Mungu wenu; msikengeuke kwa mkono wa kuume wala wa kushoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nyinyi muwe waangalifu mkafanye kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru; tekelezeni kila kitu barabara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo iweni waangalifu kuyafanya yale BWANA Mungu wenu aliyowaagiza; msigeuke upande wa kuume wala wa kushoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo kuweni waangalifu kuyafanya yale bwana Mwenyezi Mungu wenu aliyowaagiza; msigeuke upande wa kuume wala wa kushoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tunzeni basi, mtende kama mlivyoamriwa na BWANA, Mungu wenu; msikengeuke kwa mkono wa kulia wala wa kushoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nyinyi muwe waangalifu mkafanye kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru; tekelezeni kila kitu barabara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo angalieni, mfanye, kama Bwana Mungu wenu alivyowaagiza ninyi, msiondoke kwake kwenda wala kuumeni wala kushotoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tunzeni basi, mtende kama mlivyoamriwa na BWANA, Mungu wenu; msikengeuke kwa mkono wa kuume wala wa kushoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ninyi mukuwe waangalifu mufanye kama vile Yawe alivyowaamuru. Mutimize kila kitu sawasawa.