Deuteronomy 5:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu aliongea nanyi ana kwa ana huko mlimani katikati ya moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu alisema nanyi uso kwa uso kutoka kati ya moto juu ya mlima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana alisema nanyi uso kwa uso mlimani, toka kati ya moto;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu aliongea nanyi ana kwa ana huko mlimani katikati ya moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA alisema nanyi uso kwa uso kutoka katika moto juu ya mlima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana alisema nanyi uso kwa uso kutoka moto juu ya mlima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA alisema nanyi uso kwa uso mlimani, kutoka kati ya moto;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu aliongea nanyi ana kwa ana huko mlimani katikati ya moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko mlimani Bwana alisema nasi uso kwa uso toka motoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA alisema nanyi uso kwa uso mlimani, toka kati ya moto;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe alisema nanyi kinywa kwa kinywa huko kwenye mulima katikati ya moto.