Deuteronomy 6:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hizi ndizo amri, masharti na maagizo ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliniamuru niwafundishe, ili muyatekeleze katika nchi mnayokwenda kuimiliki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndio maagizo, amri na sheria ambazo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, aliniagiza niwafundishe ninyi ili mpate kuyashika katika nchi ambayo ninyi mnavuka Yordani kuimiliki,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hii ndiyo sheria, na amri, na hukumu, alizoziamuru Bwana, Mungu wenu, mfundishwe, mpate kuzitenda katika nchi ile mnayoivukia kuimiliki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hizi ndizo amri, masharti na maagizo ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliniamuru niwafundishe, ili muyatekeleze katika nchi mnayokwenda kuimiliki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo maagizo, amri na sheria ambazo BWANA Mungu wenu aliniagiza niwafundishe ninyi ili mpate kuyashika katika nchi ambayo ninyi mnavuka Yordani kuimiliki,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo maagizo, amri na sheria ambazo bwana Mwenyezi Mungu wenu aliniagiza niwafundishe ninyi ili mpate kuyashika katika nchi ambayo ninyi mnavuka Yordani kuimiliki,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hii ndiyo sheria, amri na hukumu, alizoziamuru BWANA, Mungu wenu, mfundishwe, mpate kuzitenda katika nchi ile mnayovuka kuimiliki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hizi ndizo amri, masharti na maagizo ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliniamuru niwafundishe, ili muyatekeleze katika nchi mnayokwenda kuimiliki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo haya ndiyo maagizo na maongozi na maamuzi, Bwana Mungu wenu aliyoniagiza, niwafundishe ninyi, mpate kuyafanya katika nchi, mnayoivukia kuichukua, iwe yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hii ndiyo sheria, na amri, na hukumu, alizoziamuru BWANA, Mungu wenu, mfundishwe, mpate kuzitenda katika nchi ile mnayoivukia kuimiliki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Hii ndiyo amri, masharti na maagizo ambayo Yawe, Mungu wenu, aliniamuru niwafundishe, kusudi muyatimize katika inchi munayokwenda kuirizi.