Deuteronomy 6:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hakikisheni kwamba hamtamsahau Mwenyezi-Mungu aliyewatoa Misri ambako mlikuwa watumwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
jihadhari usije ukamwacha Mwenyezi Mungu, aliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo ujitunze, usije ukamsahau Bwana aliyekutoa nchi ya Misri, nyumba ya utumwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hakikisheni kwamba hamtamsahau Mwenyezi-Mungu aliyewatoa Misri ambako mlikuwa watumwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
jihadhari usije ukamwacha BWANA, aliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka katika nchi ya utumwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
jihadhari usije ukamwacha bwana, aliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo ujitunze, usije ukamsahau BWANA aliyekutoa nchi ya Misri, nyumba ya utumwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hakikisheni kwamba hamtamsahau Mwenyezi-Mungu aliyewatoa Misri ambako mlikuwa watumwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
jiangalie, usimsahau Bwana aliyekutoa katika nchi ya Misri nyumbani, mlimokuwa watumwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo ujitunze, usije ukamsahau BWANA aliyekutoa nchi ya Misri, nyumba ya utumwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
muhakikishe kwamba hamutamusahau Yawe aliyewatoa Misri ambako mulikuwa watumwa.