Deuteronomy 6:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtamcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mtamtumikia yeye peke yake na kuapa kwa jina lake peke yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utamcha Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake na kuapa kwa jina lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mche Bwana, Mungu wako; ndiye utakayemtumikia, na kuapa kwa jina lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtamcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mtamtumikia yeye peke yake na kuapa kwa jina lake peke yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utamcha BWANA Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake na kuapa kwa jina lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utamcha bwana Mwenyezi Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake na kuapa kwa jina lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mche BWANA, Mungu wako; ndiye utakayemtumikia, na kuapa kwa jina lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtamcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mtamtumikia yeye peke yake na kuapa kwa jina lake peke yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwogope Bwana Mungu wako na kumtumikia yeye! Hapo utakapoapa litaje Jina lake!*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mche BWANA, Mungu wako; ndiye utakayemtumikia, na kuapa kwa jina lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutamwogopa Yawe, Mungu wenu, mutamutumikia yeye peke yake na kuapa katika jina lake peke yake.