Deuteronomy 6:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hasira ya Mwenyezi-Mungu isije ikawaka juu yenu, naye akawafutilia mbali kutoka duniani, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliye kati yenu, ni Mungu mwenye wivu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wako, ambaye yuko katikati yako, ni Mungu mwenye wivu na hasira yake itawaka dhidi yako, naye atakuangamiza kutoka uso wa nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwani Bwana, Mungu wako, aliye katikati yako ni Mungu mwenye wivu; isije ikawaka juu yako hasira ya Bwana, Mungu wako, akakuangamiza kutoka juu ya uso wa nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hasira ya Mwenyezi-Mungu isije ikawaka juu yenu, naye akawafutilia mbali kutoka duniani, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliye kati yenu, ni Mungu mwenye wivu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa BWANA Mungu wako, ambaye yuko katikati yako, ni Mungu mwenye wivu na hasira yake itawaka dhidi yako, naye atakuangamiza kutoka katika uso wa nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa bwana Mwenyezi Mungu wako, ambaye yuko katikati yako, ni Mungu mwenye wivu na hasira yake itawaka dhidi yako, naye atakuangamiza kutoka uso wa nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwani BWANA, Mungu wako, aliye katikati yako ni Mungu mwenye wivu; isije ikawaka juu yako hasira ya BWANA, Mungu wako, akakuangamiza kutoka juu ya uso wa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hasira ya Mwenyezi-Mungu isije ikawaka juu yenu, naye akawafutilia mbali kutoka duniani, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliye kati yenu, ni Mungu mwenye wivu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana Mungu wako anayekaa katikati yako ni Mungu mwenye wivu; angalia, makali yake Bwana Mungu wako yasikuwakie, akakuangamiza, utoweke juu ya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwani BWANA, Mungu wako, aliye katikati yako ni Mungu mwenye wivu; isije ikawaka juu yako hasira ya BWANA, Mungu wako, akakuangamiza kutoka juu ya uso wa nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hasira ya Yawe isiwake juu yenu, naye asiwafute katika dunia, maana Yawe, Mungu wenu, anayekuwa kati yenu, ni Mungu mwenye wivu.