Deuteronomy 6:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakikisheni kwamba mnazitii amri zake Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, maamuzi na masharti yake ambayo amewaamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utayashika maagizo ya Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa bidii, na masharti na amri alizokupa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zishikeni kwa bidii sheria za Bwana, Mungu wenu, na mashuhudizo yake, na amri zake alizokuagiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakikisheni kwamba mnazitii amri zake Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, maamuzi na masharti yake ambayo amewaamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utayashika maagizo ya BWANA Mungu wako kwa bidii, na masharti na amri alizokupa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utayashika maagizo ya bwana Mwenyezi Mungu wako kwa bidii, na masharti na amri alizokupa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zishikeni kwa bidii sheria za BWANA, Mungu wenu, na maagizo yake, na amri zake alizokuagiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakikisheni kwamba mnazitii amri zake Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, maamuzi na masharti yake ambayo amewaamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaangalieni sana maagizo ya Bwana Mungu wenu na mashuhuda yake na maongozi yake, aliyoyaagiza!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zishikeni kwa bidii sheria za BWANA, Mungu wenu, na mashuhudizo yake, na amri zake alizokuagiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muhakikishe kwamba munatii amri, maagizo, na masharti ya Yawe, Mungu wenu, ambayo amewaamuru.