Deuteronomy 6:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fanyeni yale yanayompendeza Mwenyezi-Mungu, ili mpate kufanikiwa. Mtaweza kuimiliki nchi ile nzuri ambayo Mwenyezi-Mungu aliapa kuwapa babu zenu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fanya lililo haki na jema mbele za Mwenyezi Mungu, ili upate kufanikiwa, uweze kuingia na kuimiliki nchi nzuri ambayo Mwenyezi Mungu aliahidi kwa kiapo kwa baba zako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe fanya yaliyo sawa, na mema, machoni pa Bwana; ili mpate kufanikiwa, nawe upate kuingia na kuimiliki nchi nzuri Bwana aliyowaapia baba zako,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fanyeni yale yanayompendeza Mwenyezi-Mungu, ili mpate kufanikiwa. Mtaweza kuimiliki nchi ile nzuri ambayo Mwenyezi-Mungu aliapa kuwapa babu zenu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fanya lililo haki na jema mbele za BWANA, ili upate kufanikiwa, uweze kuingia na kuimiliki nchi nzuri ambayo BWANA aliahidi kwa kiapo kwa baba zako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fanya lililo haki na jema mbele za bwana, ili upate kufanikiwa, uweze kuingia na kuimiliki nchi nzuri ambayo bwana aliahidi kwa kiapo kwa baba zako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe fanya yaliyo sawa, na mema, machoni pa BWANA; ili mpate kufanikiwa, nawe upate kuingia na kuimiliki nchi nzuri BWANA aliyowaapia baba zako,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fanyeni yale yanayompendeza Mwenyezi-Mungu, ili mpate kufanikiwa. Mtaweza kuimiliki nchi ile nzuri ambayo Mwenyezi-Mungu aliapa kuwapa babu zenu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yafanye yaongokayo nayo yafaayo machoni pake Bwana, kusudi uone mema, upate kuingia katika hiyo nchi njema, Bwana aliyowaapia baba zako, uichukue, iwe yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe fanya yaliyo sawa, na mema, machoni pa BWANA; ili mpate kufanikiwa, nawe upate kuingia na kuimiliki nchi nzuri BWANA aliyowaapia baba zako,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufanye yale yanayomupendeza Yawe, kusudi mupate kufanikiwa. Mutaweza kuirizi inchi ile nzuri ambayo Yawe aliapa kuwapa babu zenu,