Deuteronomy 6:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kwamba Mwenyezi-Mungu atawafukuza adui zenu kama alivyoahidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuwafukuza kwa nguvu adui zako mbele yako kama Mwenyezi Mungu alivyosema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ya kuwa atawasukumia nje adui zako wote mbele yako, kama alivyosema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kwamba Mwenyezi-Mungu atawafukuza adui zenu kama alivyoahidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuwafukuza kwa nguvu adui zako mbele yako kama BWANA alivyosema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuwafukuza kwa nguvu adui zako mbele yako kama bwana alivyosema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ya kuwa atawasukumia nje adui zako wote mbele yako, kama alivyosema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kwamba Mwenyezi-Mungu atawafukuza adui zenu kama alivyoahidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye na akupe kuwakimbiza adui zako wote mbele yako, kama Bwana alivyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ya kuwa atawasukumia nje adui zako wote mbele yako, kama alivyosema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na mutawafukuza waadui zenu kama vile Yawe alivyoahidi.