Deuteronomy 6:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wote mlipo hai, mtapaswa kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuzitii kanuni zote na amri ninazowapeni nyinyi na wazawa wenu ili mpate kuishi maisha marefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili ninyi, watoto wenu na watoto wao baada yao wamche Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, siku zote kwa kushika amri na maagizo yake yote ninayowapa, ili mweze kuyafurahia maisha marefu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
upate kumcha Bwana, Mungu wako, kushika amri zake zote, na sheria zake, ninazokuamuru, wewe na mwanao, na mwana wa mwanao, siku zote za maisha yako; tena siku zako ziongezwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wote mlipo hai, mtapaswa kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuzitii kanuni zote na amri ninazowapeni nyinyi na wazawa wenu ili mpate kuishi maisha marefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kwamba ninyi, watoto wenu na watoto wao baada yao wamche BWANA Mungu wenu siku zote kwa kushika amri na maagizo yake yote ninayowapa, ili mweze kuyafurahia maisha marefu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kwamba ninyi, watoto wenu na watoto wao baada yao wamche bwana Mwenyezi Mungu wenu siku zote kwa kushika amri na maagizo yake yote ninayowapa, ili mweze kuyafurahia maisha marefu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
upate kumcha BWANA, Mungu wako, kushika amri zake zote, na sheria zake, ninazokuamuru, wewe na mwanao, na mwana wa mwanao, siku zote za maisha yako; tena siku zako ziongezwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wote mlipo hai, mtapaswa kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuzitii kanuni zote na amri ninazowapeni nyinyi na wazawa wenu ili mpate kuishi maisha marefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti umwogope Bwana Mungu wako, uyaangalie maongozi na maagizo yake yote, ninayokuagiza, wewe na wanao na wana wa wanao siku zote za maisha yako, kusudi siku zako zipate kuwa nyingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
upate kumcha BWANA, Mungu wako, kushika amri zake zote, na sheria zake, ninazokuamuru, wewe na mwanao, na mwana wa mwanao, siku zote za maisha yako; tena siku zako ziongezwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wote munapokuwa wazima, mutapaswa kumwogopa Yawe, Mungu wenu, na kutii masharti yote na amri ninazowapa ninyi na wazao wenu kusudi mupate kuishi maisha marefu.