Deuteronomy 6:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku zijazo, watoto wenu wakiwauliza, ‘Nini maana ya maamuzi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, aliwaamuru kutenda?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku zijazo, mtoto wako atakapokuuliza, “Ni nini maana ya masharti haya, amri na sheria hizi ambazo Mwenyezi Mungu, Mungu wako, alikuagiza wewe?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na zamani zijazo atakapokuuliza mwanao, akikuambia, N'nini mashuhudizo, na amri, na hukumu, alizowaagiza Bwana, Mungu wetu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku zijazo, watoto wenu wakiwauliza, ‘Nini maana ya maamuzi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, aliwaamuru kutenda?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku zijazo, mtoto wako atakapokuuliza, “Ni nini maana ya masharti haya, amri na sheria hizi ambazo BWANA Mungu wako alikuagiza wewe?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku zijazo, mtoto wako atakapokuuliza, “Ni nini maana ya masharti haya, amri na sheria hizi ambazo bwana Mwenyezi Mungu wako alikuagiza wewe?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na zamani zijazo atakapokuuliza mwanao, akikuambia, Ni nini mashuhudizo, na amri, na hukumu, alizowaagiza BWANA, Mungu wetu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siku zijazo, watoto wenu wakiwauliza, ‘Nini maana ya maamuzi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, aliwaamuru kutenda?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanao atakapokuuliza siku zijazo kesho kwamba: Nini maana yao haya mashuhuda na maongozi na maamuzi, Bwana Mungu wetu aliyowaagiza ninyi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na zamani zijazo atakapokuuliza mwanao, akikuambia, N’nini mashuhudizo, na amri, na hukumu, alizowaagiza BWANA, Mungu wetu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Siku zinazokuja, mwana wako atakapokuuliza: ‘Maana ya maagizo, masharti na maamuzi ambayo Yawe, Mungu wetu, aliwaamuru kutenda ni nini?’