Deuteronomy 6:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa macho yetu wenyewe tulimwona akifanya ishara na miujiza na mambo ya kutisha na ya ajabu dhidi ya Wamisri, mfalme wao na wakuu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Machoni petu, Mwenyezi Mungu alitenda ishara za miujiza na maajabu makubwa na ya kutisha mno dhidi ya Misri, na dhidi ya Farao na nyumba yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akaonya ishara na maajabu, makubwa, mazito, juu ya Misri, na juu ya Farao, na juu ya nyumba yake yote, mbele ya macho yetu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa macho yetu wenyewe tulimwona akifanya ishara na miujiza na mambo ya kutisha na ya ajabu dhidi ya Wamisri, mfalme wao na wakuu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akapeleka mbele yetu ishara za miujiza na maajabu makubwa na ya kutisha mno juu ya Misri na Farao pamoja na nyumba yake yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akapeleka mbele yetu ishara za miujiza na maajabu makubwa na ya kutisha mno juu ya Misri na Farao pamoja na nyumba yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akaonesha ishara na maajabu makubwa na mazito, juu ya Misri, Farao, na nyumba yake yote, mbele ya macho yetu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa macho yetu wenyewe tulimwona akifanya ishara na miujiza na mambo ya kutisha na ya ajabu dhidi ya Wamisri, mfalme wao na wakuu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana alipofanya machoni petu kule Misri vielekezo na vioja vikubwa vilivyomwogopesha Farao na mlango wake wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akaonya ishara na maajabu, makubwa, mazito, juu ya Misri, na juu ya Farao, na juu ya nyumba yake yote, mbele ya macho yetu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa macho yetu wenyewe tulimwona akifanya vitambulisho na miujiza na mambo ya kutisha na ya ajabu juu ya Wamisri, mufalme wao na wakubwa wake.