Deuteronomy 6:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitutoa Misri, akatuleta hapa na kutupa nchi hii, kama alivyoapa kwamba atawapa babu zetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mungu akatutoa huko, akatuleta na kutupatia nchi hii ambayo aliwaahidi baba zetu kwa kiapo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akatutoa huko ili kututia huku, apate kutupa nchi aliyowaapia baba zetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitutoa Misri, akatuleta hapa na kutupa nchi hii, kama alivyoapa kwamba atawapa babu zetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Mungu akatutoa huko, akatuleta na kutupa nchi hii ambayo aliwaahidi baba zetu kwa kiapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Mungu akatutoa huko, akatuleta na kutupa nchi hii ambayo aliwaahidi baba zetu kwa kiapo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akatutoa huko ili kututia huku, apate kutupa nchi aliyowaapia babu zetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitutoa Misri, akatuleta hapa na kutupa nchi hii, kama alivyoapa kwamba atawapa babu zetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, alivyotutoa huko na kutuleta huku, atupe nchi hii, aliyowaapia baba zenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akatutoa huko ili kututia huku, apate kutupa nchi aliyowaapia baba zetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitutoa Misri, akatuleta hapa na kutupa inchi hii, kama vile alivyoapa kwamba atawapa babu zetu.