Deuteronomy 6:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena tutakuwa waadilifu kama tukitimiza kwa uangalifu amri hizi zote mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kama alivyotuamuru’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tukizitii kwa bidii amri hizi zote mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, kama alivyotuamuru sisi, hiyo itakuwa haki yetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena itakuwa haki kwetu, tukitunza kufanya maagizo haya yote mbele ya Bwana, Mungu wetu, kama alivyotuagiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena tutakuwa waadilifu kama tukitimiza kwa uangalifu amri hizi zote mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kama alivyotuamuru’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama tukizitii kwa bidii amri hizi zote mbele za BWANA Mungu wetu, kama alivyotuamuru sisi, hiyo itakuwa haki yetu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama tukizitii kwa bidii amri hizi zote mbele za bwana Mwenyezi Mungu wetu, kama alivyotuamuru sisi, hiyo itakuwa haki yetu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena itakuwa haki kwetu, tukizingatia kufanya maagizo haya yote mbele za BWANA, Mungu wetu, kama alivyotuagiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena tutakuwa waadilifu kama tukitimiza kwa uangalifu amri hizi zote mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kama alivyotuamuru’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wongofu wetu ndio huu wa kujiangalia, tuyafanye haya maagizo yote mbele ya Bwana Mungu wetu, kama alivyotuagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena itakuwa haki kwetu, tukitunza kufanya maagizo haya yote mbele ya BWANA, Mungu wetu, kama alivyotuagiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tukiwa waangalifu tukitimiza amri zote mbele ya Yawe, Mungu wetu, kama vile alivyotuamuru, tutahesabiwa kuwa wenye haki’.