Deuteronomy 6:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi sikilizeni enyi Waisraeli! Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni Mwenyezi-Mungu mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikia, ee Israeli: Mwenyezi Mungu, Mungu wako, Mwenyezi Mungu ni mmoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikiza, Ee Israeli; Bwana, Mungu wetu, Bwana ndiye mmoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi sikilizeni enyi Waisraeli! Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni Mwenyezi-Mungu mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikia, Ee Israeli: BWANA Mungu wako, ni BWANA mmoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikia, ee Israeli: bwana Mwenyezi Mungu wako, bwana ni mmoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikiliza, Ee Israeli; BWANA, Mungu wetu, BWANA ndiye mmoja
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi sikilizeni enyi Waisraeli! Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni Mwenyezi-Mungu mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Sikia, Isiraeli: Bwana Mungu wetu ni Bwana peke yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikiza, Ee Israeli; BWANA, Mungu wetu, BWANA ndiye mmoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Basi musikilize, enyi Waisraeli! Yawe, Yawe tu, ni Mungu wetu.