Deuteronomy 6:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpendeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa moyo wenu wote, kwa roho yenu yote na kwa nguvu zenu zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpende Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe mpende Bwana, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpendeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa moyo wenu wote, kwa roho yenu yote na kwa nguvu zenu zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpende BWANA Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote na kwa nguvu zako zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpende bwana Mwenyezi Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe mpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpendeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa moyo wenu wote, kwa roho yenu yote na kwa nguvu zenu zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe umpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa nguvu yako yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe mpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumupende Yawe, Mungu wenu, kwa moyo wenu wote, kwa roho yenu yote na kwa nguvu yenu yote.