Deuteronomy 6:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yafungeni katika mikono yenu na kuyavaa katika vipaji vya nyuso zenu kama ukumbusho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zifunge kama alama juu ya mkono wako, na uzifunge juu ya paji la uso wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yafunge yawe dalili juu ya mkono wako, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yafungeni katika mikono yenu na kuyavaa katika vipaji vya nyuso zenu kama ukumbusho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zifunge kama alama juu ya mkono wako, na uzifunge juu ya paji la uso wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zifunge kama alama juu ya mkono wako, na uzifunge juu ya paji la uso wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yafunge yawe dalili juu ya mkono wako, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yafungeni katika mikono yenu na kuyavaa katika vipaji vya nyuso zenu kama ukumbusho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yafunge mkononi pako kuwa kielekezo, yawe napo pajini pako katikati ya macho yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yafunge yawe dalili juu ya mkono wako, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muyafunge katika mikono yenu na kuyavaa katika paji za nyuso zenu kama vile ukumbusho.