Deuteronomy 7:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo muwe waangalifu kushika amri, masharti na maagizo ninayowaamuru leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, kuweni waangalifu kufuata maagizo, amri na sheria ninazowapa leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi zishike amri, na sheria, na hukumu ninazokuamuru leo, uzitende.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo muwe waangalifu kushika amri, masharti na maagizo ninayowaamuru leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, iweni waangalifu kufuata maagizo, amri na sheria ninazowapa leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, kuweni waangalifu kufuata maagizo, amri na sheria ninazowapa leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi zishike amri, na sheria, na hukumu ninazokuamuru leo, uzitende.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo muwe waangalifu kushika amri, masharti na maagizo ninayowaamuru leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo yaangalieni maagizo na maongozi na maamuzi, mimi ninayokuagiza leo kuyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi zishike amri, na sheria, na hukumu ninazokuamuru leo, uzitende.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo mukuwe waangalifu kushika amri, masharti na maagizo ninayowaamuru leo.