Deuteronomy 7:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Msijisemee mioyoni mwenu: ‘Watu hawa ni wengi kuliko sisi, twawezaje kuwafukuza nchini?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnaweza kujiuliza wenyewe: “Mataifa haya ni yenye nguvu kuliko sisi. Tutawezaje kuwafukuza?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe kama ukisema moyoni mwako, Mataifa haya ni mengi kunipita mimi; nitawatoaje katika milki yao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Msijisemee mioyoni mwenu: ‘Watu hawa ni wengi kuliko sisi, twawezaje kuwafukuza nchini?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mnaweza kujiuliza wenyewe “Mataifa haya ni yenye nguvu kuliko sisi. Tutawezaje kuwafukuza?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mnaweza kujiuliza wenyewe “Mataifa haya ni yenye nguvu kuliko sisi. Tutawezaje kuwafukuza?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe kama ukisema moyoni mwako, Mataifa haya ni mengi kuliko mimi; nitawatoaje katika milki yao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Msijisemee mioyoni mwenu: ‘Watu hawa ni wengi kuliko sisi, twawezaje kuwafukuza nchini?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo, utakaposema moyoni mwako: Mataifa haya ni mengi ya kunishinda, nitawezaje kuyafukuza?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe kama ukisema moyoni mwako, Mataifa haya ni mengi kunipita mimi; nitawatoaje katika milki yao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Musijisemeshe ndani mioyo yenu: ‘Watu hawa ni wengi kuliko sisi, tunaweza namna gani kuwafukuza toka katika inchi?’