Deuteronomy 7:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiwaogope, kumbukeni vile Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyomtendea Farao na nchi nzima ya Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini msiwaogope. Kumbukeni vyema jinsi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, alivyofanya kwa Farao na kwa wote huko Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiwaogope; kumbuka sana Bwana, Mungu wako, alivyomfanya Farao na Misri yote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiwaogope, kumbukeni vile Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyomtendea Farao na nchi nzima ya Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini msiwaogope. Kumbukeni vyema jinsi BWANA Mungu wenu alivyofanya kwa Farao na kwa wote huko Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini msiwaogope. Kumbukeni vyema jinsi bwana Mwenyezi Mungu wenu alivyofanya kwa Farao na kwa wote huko Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiwaogope; kumbuka sana BWANA, Mungu wako, alivyomfanya Farao na Misri yote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiwaogope, kumbukeni vile Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyomtendea Farao na nchi nzima ya Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiwaogope, ila yakumbuke sana, Bwana Mungu wako aliyomfanyizia Farao nao Wamisri wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiwaogope; kumbuka sana BWANA, Mungu wako, alivyomfanya Farao na Misri yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musiwaogope, mukumbuke vile Yawe, Mungu wenu, alivyomutendea mufalme wa Misri na inchi nzima ya Misri.