Deuteronomy 7:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zaidi ya hayo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atapeleka mavu kati yao na kuwaangamiza wale ambao watawatoroka ili kujificha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zaidi ya hayo, Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, atatuma nyigu miongoni mwao hadi yale mabaki watakaojificha waangamie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Bwana, Mungu wako, atampeleka mavu kati yao, hata hao watakaosalia, hao wajifichao, waangamie mbele zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zaidi ya hayo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atapeleka mavu kati yao na kuwaangamiza wale ambao watawatoroka ili kujificha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zaidi ya hayo, BWANA Mungu wenu atatuma manyigu miongoni mwao hadi yale mabaki watakaojificha waangamie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zaidi ya hayo, bwana Mwenyezi Mungu wenu atatuma manyigu miongoni mwao hadi yale mabaki watakaojificha waangamie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena BWANA, Mungu wako, atapeleka mavu kati yao, hata hao watakaosalia, hao wajifichao, waangamie mbele zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zaidi ya hayo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atapeleka mavu kati yao na kuwaangamiza wale ambao watawatoroka ili kujificha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena Bwana Mungu wako atatuma mavu kwao, waangamie nao watakaosalia kwa kujificha, usiwaone.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena BWANA, Mungu wako, atampeleka mavu kati yao, hata hao watakaosalia, hao wajifichao, waangamie mbele zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaidi ya hayo, Yawe, Mungu wenu, atatuma nyuki kati yao na kuwaangamiza wale ambao watawatoroka kwa kujificha.