Deuteronomy 7:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, msiwaogope, kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, yuko kati yenu. Yeye ni Mungu mkuu na wa kutisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiingiwe na hofu kwa sababu yao, kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ambaye yupo miongoni mwenu ni mkuu naye ni Mungu wa kutisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiingiwe na kicho kwa sababu yao; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu katikati yako, Mungu mkuu, mwenye utisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, msiwaogope, kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, yuko kati yenu. Yeye ni Mungu mkuu na wa kutisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiingiwe na hofu kwa sababu yao, kwa kuwa BWANA Mungu wenu, ambaye yupo miongoni mwenu ni mkuu naye ni Mungu wa kutisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiingiwe na hofu kwa sababu yao, kwa kuwa bwana Mwenyezi Mungu wenu, ambaye yupo miongoni mwenu, ni mkuu naye ni Mungu wa kutisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiingiwe na hofu kwa sababu yao; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yuko pamoja nawe, Mungu mkuu, mwenye utisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, msiwaogope, kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, yuko kati yenu. Yeye ni Mungu mkuu na wa kutisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiwastuke! Kwani Bwana Mungu wako yuko katikati yako, naye ni Mungu mkubwa anayeogopesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiingiwe na kicho kwa sababu yao; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu katikati yako, Mungu mkuu, mwenye utisho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, musiwaogope, kwa sababu Yawe, Mungu wenu, yuko kati yenu. Yeye ni Mungu mukubwa na wa kutisha.