Deuteronomy 7:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fanyeni hivyo kwa kuwa nyinyi mmewekwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Kati ya watu wote ulimwenguni aliwachagua nyinyi ili muwe taifa lake mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa wewe ni taifa takatifu kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wako. Mwenyezi Mungu, Mungu wako, amekuchagua kutoka mataifa yote duniani uwe taifa lake, hazina yake ya pekee.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana wewe u taifa takatifu kwa Bwana, Mungu wako; Bwana Mungu wako, amekuchagua kuwa watu wake hasa, zaidi ya mataifa yote walioko juu ya uso wa nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fanyeni hivyo kwa kuwa nyinyi mmewekwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Kati ya watu wote ulimwenguni aliwachagua nyinyi ili muwe taifa lake mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa wewe ni taifa takatifu kwa BWANA Mungu wako. BWANA Mungu wako amekuchagua wewe kutoka katika mataifa yote juu ya uso wa dunia kuwa watu wake, hazina yake ya thamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa wewe ni taifa takatifu kwa bwana Mwenyezi Mungu wako. bwana Mwenyezi Mungu wako amekuchagua wewe kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia kuwa watu wake, hazina yake ya thamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana wewe u taifa takatifu kwa BWANA, Mungu wako; BWANA Mungu wako, amekuchagua kuwa watu wake hasa, zaidi ya mataifa yote walioko juu ya uso wa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fanyeni hivyo kwa kuwa nyinyi mmewekwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Kati ya watu wote ulimwenguni aliwachagua nyinyi ili muwe taifa lake mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe ndiwe kabila takatifu la Bwana Mungu wako; wewe Bwana Mungu wako alikuchagua katika makabila yote yaliyoko huku nchini, uwe kabila lake mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana wewe u taifa takatifu kwa BWANA, Mungu wako; BWANA Mungu wako, amekuchagua kuwa watu wake hasa, zaidi ya mataifa yote walioko juu ya uso wa nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufanye hivyo kwa sababu ninyi mumetakaswa kwa Yawe, Mungu wenu. Kati ya watu wote katika ulimwengu aliwachagua ninyi kusudi mukuwe taifa lake mwenyewe.