Deuteronomy 8:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hakikisheni kwamba hamtamsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kutoshika amri zake, maagizo yake na masharti yake ninayowaamuru leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jihadharini msimsahau Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, mkashindwa kushika maagizo yake, sheria na amri zake ambazo ninawapa leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jihadhari, usije ukamsahau Bwana, Mungu wako, kwa kutozishika amri zake, na hukumu zake, na sheria zake, ninazokuamuru leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hakikisheni kwamba hamtamsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kutoshika amri zake, maagizo yake na masharti yake ninayowaamuru leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jihadharini msimsahau BWANA Mungu wenu, mkashindwa kushika maagizo yake, sheria na amri zake ambazo ninawapa leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jihadharini msimsahau bwana Mwenyezi Mungu wenu, mkashindwa kushika maagizo yake, sheria na amri zake ambazo ninawapa leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jihadhari, usije ukamsahau BWANA, Mungu wako, kwa kutozishika amri zake, na hukumu zake, na sheria zake, ninazokuamuru leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hakikisheni kwamba hamtamsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kutoshika amri zake, maagizo yake na masharti yake ninayowaamuru leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jiangalie, usimsahau Bwana Mungu wako, ukiacha kuyaangalia maagizo yake na maamuzi yake na maongozi yake, mimi ninayokuagiza leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jihadhari, usije ukamsahau BWANA, Mungu wako, kwa kutozishika amri zake, na hukumu zake, na sheria zake, ninazokuamuru leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Muhakikishe kwamba hamutamusahau Yawe, Mungu wenu, kwa kutoshika amri zake, maagizo yake na masharti yake ninayowaamuru leo.