Deuteronomy 8:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na wakati ambapo ng'ombe na kondoo wenu, dhahabu na fedha yenu, na kila kitu mlicho nacho kitakuwa kimeongezeka,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na wakati makundi yenu ya ng’ombe na mbuzi na kondoo yatakapoongezeka na fedha na dhahabu yenu itakapoongezeka na vyote mlivyo navyo vitakapozidishwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na makundi yako ya ng'ombe na kondoo yatakapoongezeka, na fedha yako na dhahabu yako itakapoongezeka, na kila kitu ulicho nacho kitakapoongezeka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na wakati ambapo ng'ombe na kondoo wenu, dhahabu na fedha yenu, na kila kitu mlicho nacho kitakuwa kimeongezeka,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na wakati makundi yenu ya ng'ombe na mbuzi na kondoo yatakapoongezeka na fedha na dhahabu yenu itakapoongezeka na vyote mlivyo navyo vitakapozidishwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na wakati makundi yenu ya ng’ombe na mbuzi na kondoo yatakapoongezeka na fedha na dhahabu yenu itakapoongezeka na vyote mlivyo navyo vitakapozidishwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na makundi yako ya ng'ombe na kondoo yatakapoongezeka, na fedha yako na dhahabu yako itakapoongezeka, na kila kitu ulicho nacho kitakapoongezeka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na wakati ambapo ng'ombe na kondoo wenu, dhahabu na fedha yenu, na kila kitu mlicho nacho kitakuwa kimeongezeka,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena ng'ombe na mbuzi na kondoo wako watakapokuwa wengi, nazo fedha na dhahabu zako zitakapokuwa nyingi, nazo mali zako zote zitakapokuwa nyingi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na makundi yako ya ng’ombe na kondoo yatakapoongezeka, na fedha yako na dhahabu yako itakapoongezeka, na kila kitu ulicho nacho kitakapoongezeka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na wakati ambapo ngombe na kondoo wenu, zahabu na feza yenu, na kila kitu munachokuwa nacho kitakuwa kimeongezeka,