Deuteronomy 8:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
msiwe na kiburi na kumsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, mahali mlipokuwa watumwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi mioyo yenu isiwe na kiburi mkamsahau Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi hapo moyo wako usiinuke, ukamsahau Bwana, Mungu wako, aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
msiwe na kiburi na kumsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, mahali mlipokuwa watumwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi mioyo yenu isiwe na kiburi mkamsahau BWANA Mungu wenu aliyewatoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi mioyo yenu isiwe na kiburi mkamsahau bwana Mwenyezi Mungu wenu aliyewatoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi hapo moyo wako usiinuke, ukamsahau BWANA, Mungu wako, aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
msiwe na kiburi na kumsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, mahali mlipokuwa watumwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
jiangalie, moyo wako usijikuze, ukamsahau Bwana Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri nyumbani, mlimokuwa watumwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi hapo moyo wako usiinuke, ukamsahau BWANA, Mungu wako, aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
musikuwe na kiburi na kumusahau Yawe, Mungu wenu, aliyewatoa katika inchi ya Misri, pahali mulipokuwa watumwa.