Deuteronomy 8:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo wa miaka arubaini nguo zenu hazikuchakaa, wala miguu yenu haikuvimba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nguo zenu hazikuchakaa wala miguu yenu haikuvimba kwa miaka hii arobaini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mavazi yako hayakuchakaa, wala mguu wako haukuvimba, miaka hiyo arobaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo wa miaka arubaini nguo zenu hazikuchakaa, wala miguu yenu haikuvimba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nguo zenu hazikuchakaa wala miguu yenu haikuvimba kwa miaka hii arobaini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nguo zenu hazikuchakaa wala miguu yenu haikuvimba kwa miaka hii arobaini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mavazi yako hayakuchakaa, wala mguu wako haukuvimba, miaka hiyo arobaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo wa miaka arubaini nguo zenu hazikuchakaa, wala miguu yenu haikuvimba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nguo zako hazikuchakaa mwilini pako, wala miguu yako haikuvimba hii miaka 40.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mavazi yako hayakuchakaa, wala mguu wako haukuvimba, miaka hiyo arobaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati huo wa miaka makumi ine nguo zenu hazikuchakaa, wala miguu yenu haikuvimba.