Deuteronomy 8:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumbukeni kwamba Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawarudi kama vile baba amrudivyo mwanawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mjue basi ndani ya mioyo yenu kama mtu anavyomwadibisha mwanawe, ndivyo Mwenyezi Mungu, Mungu wako, atawaadibisha ninyi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe fikiri moyoni mwako, ya kuwa kama vile baba amrudivyo mwanawe, ndivyo Bwana, Mungu wako, akurudivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumbukeni kwamba Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawarudi kama vile baba amrudivyo mwanawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mjue basi ndani ya mioyo yenu kama mtu anavyomwadibisha mwanawe, ndivyo BWANA Mungu wako atawaadibisha ninyi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mjue basi ndani ya mioyo yenu kama mtu anavyomwadibisha mwanawe, ndivyo bwana Mwenyezi Mungu wako atawaadibisha ninyi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe fikiri moyoni mwako, ya kuwa kama vile baba amrudivyo mwanawe, ndivyo BWANA, Mungu wako, akurudivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumbukeni kwamba Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawarudi kama vile baba amrudivyo mwanawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ujue moyoni mwako, ya kuwa Bwana Mungu wako anakuchapa, kama mtu anavyomchapa mwanawe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe fikiri moyoni mwako, ya kuwa kama vile baba amrudivyo mwanawe, ndivyo BWANA, Mungu wako, akurudivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukumbuke kwamba Yawe, Mungu wenu, anawaazibu kama vile baba anavyoazibu mwana wake.