Deuteronomy 9:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mwenyezi-Mungu alinipa vibao viwili vya mawe vilivyoandikwa kwa kidole chake Mungu; vilikuwa vimeandikwa maneno yote ambayo Mwenyezi-Mungu aliwaambieni mlimani kutoka kwenye moto siku ya mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu alinipa vibao viwili vya mawe vilivyoandikwa kwa kidole cha Mungu. Juu ya vibao hivyo kulikuwa amri zote Mwenyezi Mungu alizowatangazia kule mlimani kutoka kati ya moto siku ya kusanyiko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akanipa zile mbao mbili za mawe zimeandikwa kwa kidole cha Mungu; na juu yake yameandikwa maneno mfano wa yote aliyosema nanyi Bwana mle mlimani toka kati ya moto siku ya mkutano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mwenyezi-Mungu alinipa vibao viwili vya mawe vilivyoandikwa kwa kidole chake Mungu; vilikuwa vimeandikwa maneno yote ambayo Mwenyezi-Mungu aliwaambieni mlimani kutoka kwenye moto siku ya mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA alinipa mbao mbili za mawe zilizoandikwa kwa kidole cha Mungu. Juu ya mbao hizo kulikuwapo amri zote ambazo BWANA aliwatangazieni kule mlimani kwa njia ya moto, siku ya kusanyiko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana alinipa mbao mbili za mawe zilizoandikwa kwa kidole cha Mungu. Juu ya mbao hizo kulikuwepo amri zote ambazo bwana aliwatangazia kule mlimani kwa njia ya moto, siku ya kusanyiko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akanipa vile vibao viwili vya mawe vilivyoandikwa kwa kidole cha Mungu; na juu yake yameandikwa maneno mfano wa yote aliyosema nanyi BWANA mle mlimani kutoka kati ya moto siku ya mkutano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mwenyezi-Mungu alinipa vibao viwili vya mawe vilivyoandikwa kwa kidole chake Mungu; vilikuwa vimeandikwa maneno yote ambayo Mwenyezi-Mungu aliwaambieni mlimani kutoka kwenye moto siku ya mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana aliponipa mbao mbili za mawe zilizoandikwa kwa kidole cha Mungu maneno yote sawasawa, kama Bwana alivyoyasema nanyi huko mlimani toka motoni siku ile, mlipokusanyika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akanipa zile mbao mbili za mawe zimeandikwa kwa kidole cha Mungu; na juu yake yameandikwa maneno mfano wa yote aliyosema nanyi BWANA mle mlimani toka kati ya moto siku ya mkutano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yawe akanipa vibao viwili vya mawe vilivyoandikwa kwa kidole cha Mungu. Vilikuwa vimeandikwa maneno yote ambayo Yawe aliwaambia kwenye mulima kutoka kwenye moto siku ya mukutano.