Deuteronomy 9:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, baada ya siku hizo arubaini, usiku na mchana, Mwenyezi-Mungu alinipa vibao hivyo viwili vya mawe ambavyo viliandikwa agano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwisho wa siku arobaini usiku na mchana, Mwenyezi Mungu alinipa vibao viwili vya mawe, vile vibao vya agano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa mwisho wa siku arobaini usiku na mchana, Bwana alinipa zile mbao mbili za mawe, nazo ni mbao za agano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, baada ya siku hizo arubaini, usiku na mchana, Mwenyezi-Mungu alinipa vibao hivyo viwili vya mawe ambavyo viliandikwa agano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwisho wa siku arobaini mchana na usiku, BWANA alinipa mbao mbili za mawe, mbao za Agano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwisho wa siku arobaini usiku na mchana, bwana alinipa mbao mbili za mawe, mbao za Agano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa mwisho wa siku arobaini usiku na mchana, BWANA alinipa zile mbao mbili za mawe, nazo ni mbao za agano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, baada ya siku hizo arubaini, usiku na mchana, Mwenyezi-Mungu alinipa vibao hivyo viwili vya mawe ambavyo viliandikwa agano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zile siku 40 za mchana kutwa na usiku kucha zilipokwisha, Bwana akanipa zile mbao mbili za mawe, ndio mbao za Agano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa mwisho wa siku arobaini usiku na mchana, BWANA alinipa zile mbao mbili za mawe, nazo ni mbao za agano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika, nyuma ya siku hizo makumi ine, usiku na muchana, Yawe akanipa vibao hivyo viwili vya mawe ambavyo kuliandikwa agano.