Deuteronomy 9:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kadhalika, Mwenyezi-Mungu aliniambia, ‘Nimewaona watu hawa, ni watu wakaidi sana;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Mwenyezi Mungu akaniambia, “Nimewaona watu hawa, nao ni watu wenye shingo ngumu sana!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Bwana akasema nami zaidi, akaniambia, Nimeliona taifa hili; na tazama, ni taifa lenye shingo ngumu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kadhalika, Mwenyezi-Mungu aliniambia, ‘Nimewaona watu hawa, ni watu wakaidi sana;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye BWANA akaniambia, “Nimewaona watu hawa nao ni watu wenye shingo ngumu sana!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye bwana akaniambia, “Nimewaona watu hawa nao ni watu wenye shingo ngumu sana!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena BWANA akasema nami zaidi, akaniambia, Nimeliona taifa hili; na tazama, ni taifa lenye shingo ngumu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kadhalika, Mwenyezi-Mungu aliniambia, ‘Nimewaona watu hawa, ni watu wakaidi sana;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena Bwana akaniambia kwamba: Nilipowatazama watu hawa, nikawaona kuwa watu wenye kosi ngumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena BWANA akasema nami zaidi, akaniambia, Nimeliona taifa hili; na tazama, ni taifa lenye shingo ngumu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Vilevile, Yawe akaniambia: ‘Nimewaona watu hawa, ni watu wagumu sana.