Deuteronomy 9:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
niache niwaangamize, nilifutilie mbali jina lao duniani; nami nitakufanya wewe kuwa taifa lenye nguvu na kubwa kuliko wao.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niache, ili nipate kuwaangamiza na kufuta jina lao chini ya mbingu. Nami nitakufanya kuwa taifa lenye nguvu zaidi na kuwa wengi kuliko wao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
niache, nipate kuwaangamiza, na kulifuta jina lao chini ya mbingu; nami nitakufanya wewe uwe taifa kubwa lenye nguvu kuwapita wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
niache niwaangamize, nilifutilie mbali jina lao duniani; nami nitakufanya wewe kuwa taifa lenye nguvu na kubwa kuliko wao.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niache, ili nipate kuwaangamiza na kufuta jina lao kutoka chini ya mbingu. Nami nitakufanya kuwa taifa lenye nguvu zaidi na kuwa wengi kuliko wao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niache, ili nipate kuwaangamiza na kufuta jina lao kutoka chini ya mbingu. Nami nitakufanya kuwa taifa lenye nguvu zaidi na kuwa wengi kuliko wao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
niache, nipate kuwaangamiza, na kulifuta jina lao chini ya mbingu; nami nitakufanya wewe uwe taifa kubwa lenye nguvu kuliko wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
niache niwaangamize, nilifutilie mbali jina lao duniani; nami nitakufanya wewe kuwa taifa lenye nguvu na kubwa kuliko wao.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niache, niwaangamize na kulifuta jina lao, litoweke chini ya mbingu! Kisha nitakufanya wewe kuwa taifa lenye nguvu, tena lenye watu wengi kuliko wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
niache, nipate kuwaangamiza, na kulifuta jina lao chini ya mbingu; nami nitakufanya wewe uwe taifa kubwa lenye nguvu kuwapita wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniache niwaangamize, nifute jina lao toka katika dunia. Nami nitakufanya wewe kuwa taifa lenye nguvu na kubwa kuliko wao.’