Deuteronomy 9:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi, niligeuka, nikashuka kutoka mlimani, nikiwa nimebeba vile vibao viwili vya mawe, nao moto ulikuwa unawaka mlimani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, niligeuka na kuteremka kutoka mlimani kwani mlima ulikuwa ukiwaka moto. Pia vile vibao viwili vya agano vilikuwa mikononi mwangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi nikageuka nikashuka mle mlimani, mlima ukawaka moto; na zile mbao mbili za agano zilikuwa katika mikono yangu miwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi, niligeuka, nikashuka kutoka mlimani, nikiwa nimebeba vile vibao viwili vya mawe, nao moto ulikuwa unawaka mlimani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo niligeuka na kutelemka kutoka mlimani kwani mlima ulikuwa ukiwaka moto. Pia vibao vile viwili vya Agano vilikuwa mikononi mwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo niligeuka na kuteremka kutoka mlimani kwani mlima ulikuwa ukiwaka moto. Pia vibao vile viwili vya Agano vilikuwa mikononi mwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi nikageuka nikashuka mle mlimani, mlima ukawaka moto; na vile zile mbao mbili za agano zilikuwa katika mikono yangu miwili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi, niligeuka, nikashuka kutoka mlimani, nikiwa nimebeba vile vibao viwili vya mawe, nao moto ulikuwa unawaka mlimani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nilipogeuka na kushuka mlimani, nao mlima ulikuwa ukiwaka moto, nazo hizo mbao mbili za Agano zilikuwa katika mikono yangu miwili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi nikageuka nikashuka mle mlimani, mlima ukawaka moto; na zile mbao mbili za agano zilikuwa katika mikono yangu miwili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Basi, nikageuka, nikashuka kutoka kwenye mulima, nikiwa nimebeba vile vibao viwili vya agano, nao moto ulikuwa unawaka juu ya mulima.