Deuteronomy 9:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, nilivishika vile vibao viwili nikavitupa chini, nikavivunja mbele yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo nilichukua vile vibao viwili, nikavitupa na kuvipasua vipande vipande mbele ya macho yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikazishika zile mbao mbili, nikazitupa kutoka katika mikono yangu miwili, nikazivunja mbele ya macho yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, nilivishika vile vibao viwili nikavitupa chini, nikavivunja mbele yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo nilichukua vibao vile viwili nikavitupa na kuvipasua vipande vipande mbele ya macho yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo nilichukua vibao vile viwili nikavitupa na kuvipasua vipande vipande mbele ya macho yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikazishika zile mbao mbili, nikazitupa kutoka katika mikono yangu miwili, nikazivunja mbele ya macho yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, nilivishika vile vibao viwili nikavitupa chini, nikavivunja mbele yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nilipozikamata zile mbao mbili, nikazitupa, zitoke katika mikono yangu miwili, nikazivunja hivyo machoni penu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikazishika zile mbao mbili, nikazitupa kutoka katika mikono yangu miwili, nikazivunja mbele ya macho yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, nikashika vile vibao viwili nikavitupa chini, nikavivunja mbele yenu.