Deuteronomy 9:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliogopa kwamba hasira na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu dhidi yenu, ingewaangamiza; lakini Mwenyezi-Mungu alinisikiliza pia wakati huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliogopa hasira na ghadhabu ya Mwenyezi Mungu, kwa kuwa aliwakasirikia ninyi sana na kutaka kuwaangamiza. Bali Mwenyezi Mungu alinisikiliza tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa niliogopa hasira na makamio aliyowakasirikia Bwana kutaka kuwaangamiza. Lakini Bwana alinisikiza wakati huo nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliogopa kwamba hasira na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu dhidi yenu, ingewaangamiza; lakini Mwenyezi-Mungu alinisikiliza pia wakati huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliogopa hasira na ghadhabu ya BWANA, kwa kuwa aliwakasirikia vya kutosha na kutaka kuwaangamiza. Lakini BWANA alinisikiliza tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliogopa hasira na ghadhabu ya bwana, kwa kuwa aliwakasirikia vya kutosha na kutaka kuwaangamiza. Lakini bwana alinisikiliza tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa niliogopa hasira na makamio aliyowakasirikia BWANA kutaka kuwaangamiza. Lakini BWANA alinisikiza wakati huo nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliogopa kwamba hasira na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu dhidi yenu, ingewaangamiza; lakini Mwenyezi-Mungu alinisikiliza pia wakati huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani niliyaogopa makali na machafuko ya Bwana kwa hivyo, alivyowakasirikia akitaka kuwaangamiza ninyi; lakini Bwana akanisikia hata mara hiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa niliogopa hasira na makamio aliyowakasirikia BWANA kutaka kuwaangamiza. Lakini BWANA alinisikiza wakati huo nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliogopa kwamba hasira na kasirani ya Yawe juu yenu ingewaangamiza, lakini Yawe akanisikiliza vilevile wakati huo.