Deuteronomy 9:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Pia mlimkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, huko Tabera, Masa na Kibroth-hataava.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia mlimkasirisha Mwenyezi Mungu huko Tabera, Masa na Kibroth-Hataava.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena huko Tabera, na Masa, na Kibroth-hataava mlimtia Bwana hasira.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Pia mlimkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, huko Tabera, Masa na Kibroth-hataava.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia mlimkasirisha BWANA huko Tebera, Masa na Kibroth-Hataava.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia mlimkasirisha bwana huko Tabera, Masa na Kibroth-Hataava.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena huko Tabera, na Masa, na Kibroth-hataava mlimtia BWANA hasira.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Pia mlimkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, huko Tabera, Masa na Kibroth-hataava.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nako Tabera na Masa na kwenye Makaburi ya Uchu mkamkasirisha Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena huko Tabera, na Masa, na Kibroth-hataava mlimtia BWANA hasira.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Tena mulimukasirikisha Yawe, Mungu wenu, huko Tabera, Masa na Kiburoti-Hatawa.