Deuteronomy 9:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na Mwenyezi-Mungu alipowatuma kutoka Kadesh-barnea akisema, ‘Nendeni mkaimiliki nchi ambayo nimewapatia,’ mlimwasi; hamkusadiki wala hamkutii yale aliyowaambia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vilevile wakati Mwenyezi Mungu alipowatuma kutoka Kadesh-Barnea, alisema, “Kweeni, mkaimiliki nchi niliyowapa.” Lakini mliasi dhidi ya agizo la Mwenyezi Mungu, Mungu wenu. Hamkumtegemea wala kumtii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wakati alipowatuma Bwana kutoka Kadesh-barnea, akiwaambia, Kweeni mkaimiliki nchi niliyowapa; ndipo mkaasi juu ya maagizo ya Bwana, Mungu wenu, hamkumsadiki wala hamkusikiza sauti yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na Mwenyezi-Mungu alipowatuma kutoka Kadesh-barnea akisema, ‘Nendeni mkaimiliki nchi ambayo nimewapatia,’ mlimwasi; hamkusadiki wala hamkutii yale aliyowaambia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vile vile wakati BWANA alipowatuma kutoka Kadesh-Barnea, alisema, “Kweeni, mkaimiliki nchi ambayo nimekwisha wapa.” Lakini mliasi dhidi ya agizo la BWANA Mungu wenu. Hamkumtegemea wala kumtii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vilevile wakati bwana alipowatuma kutoka Kadesh-Barnea, alisema, “Kweeni, mkaimiliki nchi ambayo nimewapa.” Lakini mliasi dhidi ya agizo la bwana Mwenyezi Mungu wenu. Hamkumtegemea wala kumtii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wakati alipowatuma BWANA kutoka Kadesh-barnea, akiwaambia, Kweeni mkaimiliki nchi niliyowapa; ndipo mkaasi juu ya maagizo ya BWANA, Mungu wenu, hamkumsadiki wala hamkusikiliza sauti yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na Mwenyezi-Mungu alipowatuma kutoka Kadesh-barnea akisema, ‘Nendeni mkaimiliki nchi ambayo nimewapatia,’ mlimwasi; hamkusadiki wala hamkutii yale aliyowaambia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
alipowaagiza kutoka Kadesi-Barnea akisema: Pandeni, mwichukue hiyo nchi, nitakayowapa, mkakataa kukitii kinywa cha Bwana Mungu wenu, maana hamkumtegemea, wala hamkuisikia sauti yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wakati alipowatuma BWANA kutoka Kadesh-barnea, akiwaambia, Kweeni mkaimiliki nchi niliyowapa; ndipo mkaasi juu ya maagizo ya BWANA, Mungu wenu, hamkumsadiki wala hamkusikiza sauti yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Yawe alipowatuma kutoka Kadesi-Barnea, akisema ‘Muende murizi inchi ambayo nimewapatia’, hamukufuata amri ya Yawe, Mungu wenu. Hamukuamini wala hamukutii yale aliyowaambia.