Deuteronomy 9:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mmekuwa waasi dhidi ya Mwenyezi-Mungu tangu siku nilipowajua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmekuwa waasi dhidi ya Mwenyezi Mungu tangu nilipowajua ninyi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mmekuwa na uasi juu ya Bwana tokea siku nilipowajua ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mmekuwa waasi dhidi ya Mwenyezi-Mungu tangu siku nilipowajua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmekuwa waasi dhidi ya BWANA tangu nilipowajua ninyi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmekuwa waasi dhidi ya bwana tangu nilipowajua ninyi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mmekuwa na uasi juu ya BWANA tokea siku nilipowajua ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mmekuwa waasi dhidi ya Mwenyezi-Mungu tangu siku nilipowajua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlikuwa wenye kukataa kumtii Bwana tangu siku hiyo, ninapowajua ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mmekuwa na uasi juu ya BWANA tokea siku nilipowajua ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mumekuwa waasi mbele ya Yawe tangu siku nilipowajua.