Deuteronomy 9:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, hawa ni watu wako na urithi wako; watu ambao uliwatoa kutoka Misri kwa nguvu na uwezo wako mkuu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali wao ni watu wako, urithi wako ule ulioutoa Misri kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulionyooka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao ni watu wako, urithi wako, uliowatoa kwa nguvu zako kuu na mkono wako ulionyoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, hawa ni watu wako na urithi wako; watu ambao uliwatoa kutoka Misri kwa nguvu na uwezo wako mkuu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali wao ni watu wako, urithi wako ule ulioutoa Misri kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulionyooka.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali wao ni watu wako, urithi wako ule ulioutoa Misri kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulionyooka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao ni watu wako, urithi wako, uliowatoa kwa nguvu zako kuu na mkono wako ulionyoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, hawa ni watu wako na urithi wako; watu ambao uliwatoa kutoka Misri kwa nguvu na uwezo wako mkuu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ni ukoo wako, uliojipatia kuwa wako mwenyewe ulipowatoa kwa nguvu zako kuu na kwa kuukunjua mkono wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao ni watu wako, urithi wako, uliowatoa kwa nguvu zako kuu na mkono wako ulionyoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana, hawa ni watu na urizi wako, watu ambao uliwatoa kwa nguvu na uwezo wako mukubwa.