Deuteronomy 9:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, jueni ya kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni nchi hii nzuri mwimiliki si kwa sababu mnastahili kuimiliki, maana nyinyi ni watu wakaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi mjue, si kwa sababu ya haki yenu Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa nchi hii nzuri kuimiliki, kwa kuwa ninyi ni taifa lenye shingo ngumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi jua ya kuwa Bwana, Mungu wako, hakupi nchi hii nzuri uimiliki kwa ajili ya haki yako, kwa maana u taifa lenye shingo ngumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, jueni ya kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni nchi hii nzuri mwimiliki si kwa sababu mnastahili kuimiliki, maana nyinyi ni watu wakaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi mjue, si kwa sababu ya haki yenu BWANA Mungu wenu anawapa nchi hii nzuri kuimiliki, kwa kuwa ninyi ni taifa lenye shingo ngumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi mjue, si kwa sababu ya haki yenu bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa nchi hii nzuri kuimiliki, kwa kuwa ninyi ni taifa lenye shingo ngumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi jua ya kuwa BWANA, Mungu wako, hakupi nchi hii nzuri uimiliki kwa ajili ya haki yako, kwa maana u taifa lenye shingo ngumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, jueni ya kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni nchi hii nzuri mwimiliki si kwa sababu mnastahili kuimiliki, maana nyinyi ni watu wakaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo jua, ya kuwa si kwa ajili ya wongofu wako, Bwana Mungu wako akikupa nchi hiyo njema kuichukua, iwe yako. Kwani ninyi m watu wenye kosi ngumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi jua ya kuwa BWANA, Mungu wako, hakupi nchi hii nzuri uimiliki kwa ajili ya haki yako, kwa maana u taifa lenye shingo ngumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mujue kwamba Yawe, Mungu wenu, anawapa inchi hii nzuri muirizi si kwa sababu munastahili kuirizi, maana ninyi ni watu wagumu.