Deuteronomy 9:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata huko mlimani Horebu, mlimkasirisha Mwenyezi-Mungu, naye alikasirika sana, kiasi cha kutaka kuwaangamiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kule Horebu mliamsha ghadhabu ya Mwenyezi Mungu, kwa hiyo alikasirika sana hata akataka kuwaangamiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mlimkasirisha Bwana katika Horebu, Bwana akakasirika nanyi hata akataka kuwaangamiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata huko mlimani Horebu, mlimkasirisha Mwenyezi-Mungu, naye alikasirika sana, kiasi cha kutaka kuwaangamiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kule Horebu mliamsha ghadhabu ya BWANA, kwa hiyo alikasirika vya kutosha hata akataka kuwaangamiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kule Horebu mliamsha ghadhabu ya bwana, kwa hiyo alikasirika vya kutosha hata akataka kuwaangamiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mlimkasirisha BWANA katika Horebu, BWANA akakasirika hadi akataka kuwaangamiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata huko mlimani Horebu, mlimkasirisha Mwenyezi-Mungu, naye alikasirika sana, kiasi cha kutaka kuwaangamiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nako kule Horebu mlimkasirisha Bwana, Bwana akawatolea makali yake alipotaka kuwaangamiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mlimkasirisha BWANA katika Horebu, BWANA akakasirika nanyi hata akataka kuwaangamiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata huko kwenye mulima Horebu, mulimukasirikisha Yawe, naye alikasirika sana, kiasi cha kutaka kuwaangamiza.