Ecclesiastes 1:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu husema, “Tazama jambo jipya,” kumbe lilikwisha kuwako zama za kale.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuna kitu chochote ambacho mtu anaweza kusema, “Tazama! Kitu hiki ni kipya”? Kilikuwepo tangu zamani za kale, kilikuwepo kabla ya wakati wetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Kuna jambo lo lote ambalo watu husema juu yake, Tazama, ni jambo jipya? Limekwisha kuwako, tangu zamani za kale zilizokuwa kabla yetu sisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu husema, “Tazama jambo jipya,” kumbe lilikwisha kuwako zama za kale.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuna kitu cho chote ambacho mtu anaweza kusema, “Tazama! Kitu hiki ni kipya”? Kilikuwapo tangu zamani za kale, kilikuwapo kabla ya wakati wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuna kitu chochote ambacho mtu anaweza kusema, “Tazama! Kitu hiki ni kipya”? Kilikuwepo tangu zamani za kale, kilikuwepo kabla ya wakati wetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Kuna jambo lolote ambalo watu husema juu yake, Tazama, ni jambo jipya? Limekwisha kuwako, tangu zamani za kale zilizokuwa kabla yetu sisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu husema, “Tazama jambo jipya,” kumbe lilikwisha kuwako zama za kale.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama litatokea, watu wanalotaka kulisema kwamba: Hili ni jipya kweli, limekwisha kuwako siku za kale kabisa zilizokuwako mbele yetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Kuna jambo lo lote ambalo watu husema juu yake, Tazama, ni jambo jipya? Limekwisha kuwako, tangu zamani za kale zilizokuwa kabla yetu sisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wanasema: “Angalia jambo hili ni jipya”, kumbe limekwisha kutendeka zamani za kale.